Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
Mmh sidhan..ngoja tusubiriTundu Lissu anajiunga rasmi Chama Cha Mapinduzi
Pasco atafaa sana akipata hiyo nafasi..sjui atapewa wily ganiDr Gwajima atakua waziri wa Kwanza kutumbuliwa.
Mkuu wa mkoa wa DSM atabadilishwa
Pasco Mayalla (Njaa) wa JF atapewa ukuu wa wilaya
Kwenye kukata kamba hapo...KUNA MSANII MMOJA MKUBWA/MAARUFU WA KIKE KATIKA TASNIA YA MUZIKI ..natabiri tutamkosa dunianKuunga mkono JUHUDI kwa Baadhi ya members waliokuwa Kamati Kuu Chadema!!!
Kukata Kamba kwa RC na DC maarufu.
Kuna Waziri naye Atakata Kamba.
Tushakomaa saivKufika December 2021 tutakua tumeisoma number vilivyo, wote tutakua tunaongea lugha moja.
[emoji2772] Tena
Mi naona mwisho wa huu mwaka Lawama zote kwa John
Huyu mwqka mzee atalegeza sana kamba...mpaka watz hawataaminiMi naona mwisho wa huu mwaka Lawama zote kwa John
Ashaanza na magari mkuu
Simba kubeba kombe la clab bingwa AfricaHabari wakuu..huu uzi ni maalum kwa ajili ya kutabiri/kubashiri mambo au matukio yatakayotokea nchini na duniani kwa ujumla..ni kwa ajili ya burudani tu na kupima nguvu/bahati/kipawa ulichonacho juu ya utabiri..
Unaweza kutabiri chochote kile..kitakachotukia kabla ya desemba 2021.iwe siasa mchezo,elimu,watu,wanyama n.k
Karibuni
tukio likitokea kama lilitabiliwa humu basi utakuwa umetisha na utakuwa ni mmoja kati ya watu wenye vipawa duniani
Mi natabiri mwaka huu kuna timu moja kubwa sana hapa Tanzania itapata pigo kubwa kwa kufungwa 3-0 na timu ndogo ambayo wengi hawakudhania
Ah wapiSimba kubeba kombe la clab bingwa Africa
Its A YEAR OF GREATNESSHabari wakuu..huu uzi ni maalum kwa ajili ya kutabiri/kubashiri mambo au matukio yatakayotokea nchini na duniani kwa ujumla..ni kwa ajili ya burudani tu na kupima nguvu/bahati/kipawa ulichonacho juu ya utabiri..
Unaweza kutabiri chochote kile..kitakachotukia kabla ya desemba 2021.iwe siasa mchezo,elimu,watu,wanyama n.k
Karibuni
tukio likitokea kama lilitabiliwa humu basi utakuwa umetisha na utakuwa ni mmoja kati ya watu wenye vipawa duniani
Mi natabiri mwaka huu kuna timu moja kubwa sana hapa Tanzania itapata pigo kubwa kwa kufungwa 3-0 na timu ndogo ambayo wengi hawakudhania
HahahahChato kuwa kama Dubai