Njoo tutabiri mambo/matukio yatakayotukia mwaka huu 2021

Mimi nilitabiri kifo cha maguri au kushindwa kuendelea na Urais mwaka 2016 nakuomba unisaidie kuniombea kwa MODS wanirudishie uzi wangu maana waliufuta.Jina la uzi wangu ni ''NDOTO ZILIZOTIMIA''
 
Mimi nilitabiri kifo cha maguri au kushindwa kuendelea na Urais mwaka 2016 nakuomba unisaidie kuniombea kwa MODS wanirudishie uzi wangu maana waliufuta.Jina la uzi wangu ni ''NDOTO ZILIZOTIMIA''
Wamekusikia lakini huu unahusu mwaka 2021
 
Hakuna ukweli wowote katika utabiri wa kwenye mitandao, ni chuki tu humsukuma mtu, yani kwa kifupi Hakuna mambo ya kutabiri tabiri hapaa...
 
Simba Sc itatolewa kwenye CAFCL hata ya nusu fainali kwa mikwaju ya penalty.
 
Hakuna ukweli wowote katika utabiri wa kwenye mitandao, ni chuki tu humsukuma mtu, yani kwa kifupi Hakuna mambo ya kutabiri tabiri hapaa...
Hakuna ukweli wakati jamaa hapo juu katabiri tukio na limetokea kwa asilimia 99
 
Mwaka huu tutapoteza wabunge wengi kwa kuumwa! Vifo vitatokea kwa mfululizo na baadhi kwa nyakati tofauti.

Waziri mwenye rank kubwa atakufa!
Duh nilipatia
 
Kiongozi mkubwa africa mashariki atakata moto.

Serikali ya Tanzania Itakubali chanjo na itakuwa lazima kwa kila.mwananchi kupata chanjo (Covid19)
Ha ha haa,watu mpo kwenye mtandao aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ