Njoo tuunganishe nguvu katika sabuni

bilengeh

Senior Member
Joined
Mar 31, 2017
Posts
135
Reaction score
86
Habari za mchana wana forum.

Nisiwachoshe na maandishi mengi; mimi ni kijana ambaye nina uzoefu kidogo na miti na matumizi yk nipo dsm kwa sasa kwa mapumziko ya mwezi hapa nilikuwa nataka mjasiriamali wa kutengenza nae sabuni za kuoga zenye ubora kuizida zoazoa na pyaar fomula ipo na na uhakika nayo with a right person tutatakeover soko la sabuni za urembo kwa yeyote anayeshugulika na hiyo industry ani pm ama kujitokeza hapa kufanya nae kazi.
Gud day.
 
Siko kwenye huo ujasiriamali wa sabuni..but naweza kukusaidia vidokezo vya kutengeneza hizo sabuni

Wajuzi zaidi wanakuja
 
Mkianza kuuza hisa nishtue mm nitanunua hata za laki 5 tu
 
Siko kwenye huo ujasiriamali wa sabuni..but naweza kukusaidia vidokezo vya kutengeneza hizo sabuni

Wajuzi zaidi wanakuja
Tutafutane my # 0653694063
 
Hapo hujaeleweka vizuri, unataka partner wa kufanya nae kazi au unataka mtaalamu wa kutengeneza hizo sabuni? Na kama ni partner weka wazi mchanganuo wa biashara inakuwaje na ni kiasi gani kinatakiwa Kuwekeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…