Njoo tuwashauri viongozi wa Yanga

Utopoloooo Nabi anawaaga huko, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama Nabi ameondoka chaguo la kwanza awe Pitso Mosimane Na apewe mkataba mrefu , viongozi waache ubahili kutoa mpunga yanga sasahivi ni timu kubwa africa Ina malengo ya vikombe na ela ilipata msimu uliopita.

Pili wawe na wachezaji 30 iachane na mambo ya kufukuzia Mpaka dakika za mwisho na kupata wachezaji 28 Kama msimu uliopita.
 
Huwezi shindwa kumbakiza Nabi kisha ulete Pitso anaekula mshahara $130K (+300M) per months.

πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huwezi shindwa kumbakiza Nabi kisha ulete Pitso anaekula mshahara $130K (+300M) per months.

πŸ˜‚πŸ˜‚
Kama salary kubwa achukuliwe mtunisia mungine kocha aliyekuja na Raja Daressalaam kutoa Kichapo Anaitwa Mondhar Kebaier .
Falsafa yake ya kufundisha Mpira wa kasi inafaa
 
Kama salary kubwa achukuliwe mtunisia mungine kocha aliyekuja na Raja Daressalaam kutoa Kichapo Anaitwa Mondhar Kebaier .
Falsafa yake ya kufundisha Mpira wa kasi inafaa
Pesa Pesa Pesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…