Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapana viongozi wetu wamemuaga tayariBado unataka ushahidi unaothibitisha kuwa Nabi anaondoka Yanga?
Kama Nabi ameondoka chaguo la kwanza awe Pitso Mosimane Na apewe mkataba mrefu , viongozi waache ubahili kutoa mpunga yanga sasahivi ni timu kubwa africa Ina malengo ya vikombe na ela ilipata msimu uliopita.
Pili wawe na wachezaji 30 iachane na mambo ya kufukuzia Mpaka dakika za mwisho na kupata wachezaji 28 Kama msimu uliopita.
Kama salary kubwa achukuliwe mtunisia mungine kocha aliyekuja na Raja Daressalaam kutoa Kichapo Anaitwa Mondhar Kebaier .Huwezi shindwa kumbakiza Nabi kisha ulete Pitso anaekula mshahara $130K (+300M) per months.
😂😂
Pesa Pesa Pesa.Kama salary kubwa achukuliwe mtunisia mungine kocha aliyekuja na Raja Daressalaam kutoa Kichapo Anaitwa Mondhar Kebaier .
Falsafa yake ya kufundisha Mpira wa kasi inafaa