Lady Aj si mke wa mtu huyu?Mapenzi ni hatua
Ila yetu yatatusua/
Toka siku nakujua
Kwangu ulijishusha japo wa kishua/
Sikushindwa kukutamkia
Nawe ukanijibu unanipenda pia/
Leo wanakuita LadyAJ
Penzi letu lipo 4G/
Usiniache nakusihii
Wala kunindindindi kama Jay dee /
Sina mchepuko
ona na play smata/
Penzi kwako sio mshiko
Mpaka kasalute binamu STUNTER/
LadyAJ .....
Ngoja niporomoshe vitu sawaLine moja haitoshi
yaani mi hapa nacheka peke yangu kwa jinsi watu wanavyoshusha VINA[emoji23] [emoji23] [emoji23] humu raha sana
Naona mnafukua kaburi nyie na chlorineNina ahidi kuandika jina lako angel in the sky /
Nyota na mbalamwezi zishuhudie walai
Mm na ww milele until we die /
Mapenz yetu yawe juu kama ya zari na dai
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaah nitapata wapi wa kuniimbia aisee
Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums Auto-reply Mobile app
Sijui niendelee, ila naogopa kuitwa shilawadu [emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]Naona mnafukua kaburi nyie na chlorine
Ndio vile joo...raia wanaweza anzisha vagi nikaja kuonekana wa ajabuNa wapiga filimbi sio.....
Daaaàah mistari kuntu mkuuFree,free_style na sipo huru/
Mashori navowasaka ni kama vita za uhuru/
Nimejikoki sivungi nataka yyte ata awe mluguru/
Si unajua eenhe ukiwa na kipururu/
Kama unapitia fanya hima super women2/
Nimedata sijisomi yote haya ni we we 2/
Hello ladmam usisubiri nifike 42/
Ndoto kubwa wazo kubwa nkumiliki ww 2/
I used to come on ya PM more than times 2/
Naskitika mpaka sasa ujanielewa 2/
Sikutanii naapia hata magu anajua/
Navokuzimia hakianani utaniua/
Njoo mrembo wa ndoto zangu moyoni nijae nikufanye langu hua/
Mummy siunajua/
Wewe ndo najivunia/
Haya yote nakwambia kwani nimetia nia/
hata bibi alikuwa binti.
Interesting quote[emoji2]Daaaàah mistari kuntu mkuu