Njoo tuwasifu wapenzi wetu kwa Mitindo huru/freestyle.

Njoo tuwasifu wapenzi wetu kwa Mitindo huru/freestyle.

Mapenzi ni hatua
Ila yetu yatatusua/

Toka siku nakujua
Kwangu ulijishusha japo wa kishua/

Sikushindwa kukutamkia
Nawe ukanijibu unanipenda pia/

Leo wanakuita LadyAJ
Penzi letu lipo 4G/

Usiniache nakusihii
Wala kunindindindi kama Jay dee /

Sina mchepuko
ona na play smata/

Penzi kwako sio mshiko
Mpaka kasalute binamu STUNTER/

LadyAJ .....
Lady Aj si mke wa mtu huyu?
 
Silali mpaka nikusikie,
Hata kama sina ntakopa nikupigie,
Huna chura ila kidoti ka jokate,
Bonge La sura hata sichoki kukuchek,
Nifanye chochote kwako niko hoi,
Na niombe chochote kwako sichomoi,
 
Never say never
Kaniteka zaidi ya aveva

Mbishi kwake nalegeza
Mwanzo kumuona ilikuwa muheza

Wanasema kawaiwa
Test yake zaidi ya juice ya miwa

Wanamwita geniverous akiona verse namshushia chorus
 
Kila nikifikiria sijui umenipa nini,
Nakumbuka tulianza kama utani,
Ulinisuprise kwa simu ya mkononi,
Hellow mwenzangu waitwa nani,
Naitwa.......niko moro chuoni

Kumbe tulikua chuo kimojaaa
Tena twasoma kozi moja
Hakika wafaa kuwa wangu mmoja
Ulipendeza kama dadake mikidadi
Kwa kweli ulinipandisha midadi
Hasa tukiwa beach kule Mikadi

To be continued...
 
Nina ahidi kuandika jina lako angel in the sky /

Nyota na mbalamwezi zishuhudie walai

Mm na ww milele until we die /

Mapenz yetu yawe juu kama ya zari na dai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaah nitapata wapi wa kuniimbia aisee

Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums Auto-reply Mobile app
 
Nina baby wangu anaitwa coco/
anapenda luxury hataki daladala ni mkoko/
kutwakutanga na njia kama mbwakoko/
uswazi hakosagi vigodoro na baikoko/
kwa umbea ye ni zaidi ya mnoko/
coco yupo kila chaneli /
anacheza mnanda mpaka singeli/
ila kiukweli baby ajuza /mapozi punguza
viuno koleza/hapo ndio wanimaliza


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Free,free_style na sipo huru/
Mashori navowasaka ni kama vita za uhuru/
Nimejikoki sivungi nataka yyte ata awe mluguru/
Si unajua eenhe ukiwa na kipururu/
Kama unapitia fanya hima super women2/
Nimedata sijisomi yote haya ni we we 2/
Hello ladmam usisubiri nifike 42/
Ndoto kubwa wazo kubwa nkumiliki ww 2/
I used to come on ya PM more than times 2/
Naskitika mpaka sasa ujanielewa 2/
Sikutanii naapia hata magu anajua/
Navokuzimia hakianani utaniua/
Njoo mrembo wa ndoto zangu moyoni nijae nikufanye langu hua/
Mummy siunajua/
Wewe ndo najivunia/
Haya yote nakwambia kwani nimetia nia/






hata bibi alikuwa binti.
 
Free,free_style na sipo huru/
Mashori navowasaka ni kama vita za uhuru/
Nimejikoki sivungi nataka yyte ata awe mluguru/
Si unajua eenhe ukiwa na kipururu/
Kama unapitia fanya hima super women2/
Nimedata sijisomi yote haya ni we we 2/
Hello ladmam usisubiri nifike 42/
Ndoto kubwa wazo kubwa nkumiliki ww 2/
I used to come on ya PM more than times 2/
Naskitika mpaka sasa ujanielewa 2/
Sikutanii naapia hata magu anajua/
Navokuzimia hakianani utaniua/
Njoo mrembo wa ndoto zangu moyoni nijae nikufanye langu hua/
Mummy siunajua/
Wewe ndo najivunia/
Haya yote nakwambia kwani nimetia nia/






hata bibi alikuwa binti.
Daaaàah mistari kuntu mkuu
 
Back
Top Bottom