Uchoyo sio mzuri hata kidogoAu[emoji3] [emoji3]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Haya.Uchoyo sio mzuri hata kidogo
Mmmh kwa ule ufilipino, no one can beat himYupo anafanya maombi maana sio kwa competation alonayo.
Hata yule nshomile wa kinyakyusa?[emoji12]Mmmh kwa ule ufilipino, no one can beat him
Tulianza kama utani
Kwenye uzi wa kinyamwezi
Wanga hawakuisha kuchonga
Nikawaona washenzi..
Niliimbishwa nyimbo
Nikaimba kama chizi
Wengi wao wakinicheka
Hawakujua ni ulimbo
Natega yangu mawindo
Asprin na wenzako
Nimeingia mnako
Mtoto wa juzi jamvini
Wakongwe mjitathmini
Japo sio kapuku Bitoz usione wivu
mwambie na Jimena yeye ni mstahimilivu
Kasinde wangu mwandani
Nitakuenzi daima
Walio chezea nafasi
Watie gunzi takoni
Nadata na zako bikini
Na mauno kama feni
Vilio vyako chumbani
Ukaliapo mpini.....
Hallaaa
[emoji8][emoji8][emoji8]Daaah nilikuwa sijaona hapa, thanks luv Muah! !
Umenifanya nimeduwaa gafla na kuwa domo zege kwa sekunde kadhaa......
Naomba nisijibu hapa bali nijibu kwa vitendo....
[emoji8][emoji8][emoji8]
Nakusubiri kule ,Usikawie
Mfukoni ukiwa empty
Basi mdomoni uwe smart/
Na sahau kumpa heaven sent
Mfukoni kama huna hata cent /
Pia ni mke wa mtu
Au unataka kugeuzwa mfu/
usilazimishe kwa Benny bifu
Shem akichezewa huwa haangalii utu.
[emoji1][emoji1]
Haha yule mzee wa scrub, Ni mfilipino? ??Hata yule nshomile wa kinyakyusa?[emoji12]
unatuongelesha kingerezaMy money is yo money[emoji12] [emoji12] [emoji8] [emoji8]
Owkey swrBae-kuna uzi wa
Angel Bernard
Nimekutag
What up girl, tell me how you been?Am on darling..... All the time....
I don't wanna close my eyes
I don't wanna fall asleep cause I missed you baby
And I don't wanna miss a thing
Cause even when I dream of you
The sweetest dream will never do
I still missed you baby
And I don't wanna miss a thing. .........Muah! !
Hicho sio kingereza.unatuongelesha kingereza
umetusomesha?
Nop-nimekumbuka siku ileHicho sio kingereza.
Siku gani hiyo mkwe wangu?Nop-nimekumbuka siku ile
nilicheka sana mkwe.
Alisema nae ni mfilipino.Haha yule mzee wa scrub, Ni mfilipino? ??
usijali nitakukumbushaSiku gani hiyo mkwe wangu?
Wache we!!!usijali nitakukumbusha
mkwe, tatizo uzee na huweki akiba ya maneno unasahau.