Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo unakuta mtu amekunja na mikono kwa mbele tehHahahaaaaaa!!! Yaani hiyo swaga inanipaga raha.
Mmmh ajikute tu anatupaEnhee bora umejileta najua utakua umepokea nyingi sana sasa kabla ya yote tupe huo mgao
Cc @heavent sent
We dota nitakupa.Mmmh ajikute tu anatupa
Hahahaaaaa!! Huku anatia hurumaaa, jamani dota usiwe unawafanyia hivyo watoto wa wanawake wenzio!!Hapo unakuta mtu amekunja na mikono kwa mbele teh
Aaah thanks momma. You the bestWe dota nitakupa.
My money is yo money[emoji12] [emoji12] [emoji8] [emoji8]Aaah thanks momma. You the best
Sasa unataka niwafanyaje ma?Hahahaaaaa!! Huku anatia hurumaaa, jamani dota usiwe unawafanyia hivyo watoto wa wanawake wenzio!!
It's ours of cozMy money is yo money[emoji12] [emoji12] [emoji8] [emoji8]
Uwaambie wakazisake kwanza, ili wajithamini na kujiamini.Sasa unataka niwafanyaje ma?
Teh wakatafute kwanza bonus eh?Uwaambie wakazisake kwanza, ili wajithamini na kujiamini.
Kweli kabisa, bonus ina umuhimu dota, lasivyo ile mishumaa inazima yote[emoji12]Teh wakatafute kwanza bonus eh?
Haha nimesmile alonooo. Where is ma man jamani uuuhKweli kabisa, bonus ina umuhimu dota, lasivyo ile mishumaa inazima yote[emoji12]
Ndo tushauendeleza,Mods wamegoma kufuta uzi. Sijui tuuendeleze
Mods hawafutagi nyuzi za kiboya kama hizi,Mod nisaidie kuondoa huu uzi.
Kwahiyo mi ndo sipati auWe dota nitakupa.
Au[emoji3] [emoji3]Kwahiyo mi ndo sipati au
Yupo anafanya maombi maana sio kwa competation alonayo.Haha nimesmile alonooo. Where is ma man jamani uuuh