Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hehehehtheheh nimecheka kweli[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]So cute,so bright namwita Sky Eclat/
Shape simple jamaika tunasema bomboclaat/
Nampa Ufipa,nampa Lumumba/
Nampa buguruni,namfukuza Lipumba/
Daaaah kipaji sina aisee ntavamia tu humu[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji119]Mkuu shusha yako....
Mfukoni ukiwa emptyMfukoni sina cent, mdomoni sound zipo empty, ukweli anaujua almighty, jinsi navyopagawa na heavensent
Ooh Nzagamba wangu jamaniMsukuma nimedondoka
Nimekufa nimeoza
Mahaba yako yameniua
Yameniponda kama nyanya
Ujanja kwako sina
Umenitega kama panya
Zaidi yako hakunaga
Na hata la kusema sina
Muree aka Tina
Wengine hukuita Valentina
Kwangu wewe ni nyonda
Unang'ara kama nyota
Wako katika mahaba
Nzagamba wa Nzagamba
Haha sasa hata maneno huna ndugu yangu?Mfukoni sina cent, mdomoni sound zipo empty, ukweli anaujua almighty, jinsi navyopagawa na heavensent
Haha haya bwana shemela.Mfukoni ukiwa empty
Basi mdomoni uwe smart/
Na sahau kumpa heaven sent
Mfukoni kama huna hata cent /
Pia ni mke wa mtu
Au unataka kugeuzwa mfu/
usilazimishe kwa Benny bifu
Shem akichezewa huwa haangalii utu.
[emoji1][emoji1]
Ha haa itabidi umpokee hivohivoHaha sasa hata maneno huna ndugu yangu?