Njoo tuwasifu wapenzi wetu kwa Mitindo huru/freestyle.

Njoo tuwasifu wapenzi wetu kwa Mitindo huru/freestyle.

Mfukoni sina cent, mdomoni sound zipo empty, ukweli anaujua almighty, jinsi navyopagawa na heavensent
Mfukoni ukiwa empty
Basi mdomoni uwe smart/

Na sahau kumpa heaven sent
Mfukoni kama huna hata cent /

Pia ni mke wa mtu
Au unataka kugeuzwa mfu/

usilazimishe kwa Benny bifu
Shem akichezewa huwa haangalii utu.
[emoji1][emoji1]
 
Msukuma nimedondoka
Nimekufa nimeoza

Mahaba yako yameniua
Yameniponda kama nyanya

Ujanja kwako sina
Umenitega kama panya

Zaidi yako hakunaga
Na hata la kusema sina

Muree aka Tina
Wengine hukuita Valentina

Kwangu wewe ni nyonda
Unang'ara kama nyota

Wako katika mahaba
Nzagamba wa Nzagamba
 
Wanasema kupenda maradhi

Kwa ajili yake naugua kichizi

Alishanpaga mawazo nikapata na headache

Alitaka anpge chini kusikia mi ni fataki

Uzuri mtoto ni understanding

She got real Kwa Gangster wala hapretend

Penzi lake limenifanya niwapige chin vicheche wa jf

Kila nikiona pm zao inbox naona kichefuchefu
 
Msukuma nimedondoka
Nimekufa nimeoza

Mahaba yako yameniua
Yameniponda kama nyanya

Ujanja kwako sina
Umenitega kama panya

Zaidi yako hakunaga
Na hata la kusema sina

Muree aka Tina
Wengine hukuita Valentina

Kwangu wewe ni nyonda
Unang'ara kama nyota

Wako katika mahaba
Nzagamba wa Nzagamba
Ooh Nzagamba wangu jamani

Nakupenda mno[emoji7] [emoji8]
 
Mfukoni ukiwa empty
Basi mdomoni uwe smart/

Na sahau kumpa heaven sent
Mfukoni kama huna hata cent /

Pia ni mke wa mtu
Au unataka kugeuzwa mfu/

usilazimishe kwa Benny bifu
Shem akichezewa huwa haangalii utu.
[emoji1][emoji1]
Haha haya bwana shemela.
 
Back
Top Bottom