Hahaaa!!! Unadanganywa kama litoto nawe unakubali, hivi si ulikufa wewe!!!
Huko ndio kunipenda eti?Si unaona navokupenda???
Hii mistari umemuandikia Honey Faith huyu huyu au wapo wengi humu!!!We ni honey mtamu kama asali,
Avator yako miguu mrembo unaniacha chali,
Shibe yangu uhodari,
Kitandani wanipa midadi,
Bado sijafikia kidari,
Chuchu sa sita maridadi,
Sina uwezo wa kukupa gari,
Ntakupa upendo na muda ufaidi,
Msambwanda sina hakika,
Michepuko wataachika,
Njia kuu ubaki wa rika,
Watoto mapaparika,
Tabia faith ni maridhawa,
Hapo gent unanifanya napagawa......
To BE CONTINUE..
Hahaha nimeona analalamika ikabd nimwandikie aseeHii mistari umemuandikia Honey Faith huyu huyu au wapo wengi humu!!!
Oooh! hapo sawa.Hahaha nimeona analalamika ikabd nimwandikie asee
Wakwako nn aseeOooh! hapo sawa.
Nimemwandikia huyohuyo, vipi unamwonea wivu??Hii mistari umemuandikia Honey Faith huyu huyu au wapo wengi humu!!!
We mtoto!!! Kwahiyo mie lesbian au!!?Wakwako nn asee
Chuo hamjafunga we mtoto!!!Nimemwandikia huyohuyo, vipi unamwonea wivu??
Hahaha sorry asee the reaction makes me feel u r a boy am so so sorryWe mtoto!!! Kwahiyo mie lesbian au!!?
He....!!!Chuo hamjafunga we mtoto!!!
[emoji2] [emoji3] [emoji1] hyo kali aseeAchana na hako ka atoto kanawasaga mabinti wenzie. Weka mbali na mabinti
[emoji12] [emoji12] [emoji12]He....!!!
Hahaaa!!! Huyo ni mtani wangu wa hiari.Hahaha sorry asee the reaction makes me feel u r a boy am so so sorry
Anhaaa asee sa mwite aje aamue ugomvi ukuHahaaa!!! Huyo ni mtani wangu wa hiari.