Njoo tuwasifu wapenzi wetu kwa Mitindo huru/freestyle.

Njoo tuwasifu wapenzi wetu kwa Mitindo huru/freestyle.

Vipi nikizama kwa miss natafuta
Kwa upendo tangu zama, isije tokea nikajuta
Punch zipo huku mama, nakusubiri utanikuta

Penzi tamu kolea, real love si kivuli
Shoping dubai na korea, dunia nzima ijue ulivo mzuri

Siku nikikuona, nitafurahi sana
Nahisi nyuma umenona, ndo maana nakupenda tangu zama
Fumba macho usiwaone kina kaka kuona, maana hawakawii kuleta drama

Twende home uwaone anti na mama, ili wajue nakupenda sana.
 
We ni honey mtamu kama asali,
Avator yako miguu mrembo unaniacha chali,

Shibe yangu uhodari,
Kitandani wanipa midadi,

Bado sijafikia kidari,
Chuchu sa sita maridadi,

Sina uwezo wa kukupa gari,
Ntakupa upendo na muda ufaidi,

Msambwanda sina hakika,
Michepuko wataachika,

Njia kuu ubaki wa rika,
Watoto mapaparika,

Tabia faith ni maridhawa,
Hapo gent unanifanya napagawa......

To BE CONTINUE..
Hii mistari umemuandikia Honey Faith huyu huyu au wapo wengi humu!!!
 
Back
Top Bottom