Njoo tuwasifu wapenzi wetu kwa Mitindo huru/freestyle.

Honey Faith npe nafasi nkueleze zangu hisia

Sikia Ww ni mzuri sana hadi shost zako wanakusifia

Huu uandishi ni ishara mnyamwez nshakuzimia

Njoo nkikupe kisses [emoji8] [emoji8] [emoji8] shavuni acha kulia

Mm si kama wale waliokuumiza zaman

Uliowapa moyo wako wakakushusha thamani

Ww kwangu ka malaika alieshushwa toka heaven

You will be my everything mrembo naomba niamini

Sina uwezo wa Ferrari ila uta push verosa

Uta drive toka hapo ulipo mpaka home kilosa

Kuwaona wazazi wako sinto sita kbsa

Hiv kaka zako wapo? [emoji6] [emoji3] [emoji3] wasije npa vitasa

Sintojal mshikaji wako wa jf today it's me and you

If you say you love me baby I love u too
 
huhuhuuuu lovely darling.

najua wako wengi watalizungukia penzi langu kwako lakini nakuahidi nitakuwa gud mum to our children and gud wife honey.

please usiangalie pembeni cause unajua nilivyo na wivu mwenzio. Napenda kuishi ujue.
Kwani ile michepuko yako umeacha?
 
Honey Faith npe nafasi nkueleze zangu hisia

Sikia Ww ni mzuri sana hadi shost zako wanakusifia

Huu uandishi ni ishara mnyamwez nshakuzimia

Njoo nkikupe kisses [emoji8] [emoji8] [emoji8] shavuni acha kulia

Mm si kama wale waliokuumiza zaman

Uliowapa moyo wako wakakushusha thamani

Ww kwangu ka malaika alieshushwa toka heaven

You will be my everything mrembo naomba niamini

Sina uwezo wa fefaray ila uta push verosa

Uta drive toka hapo ulipo mpaka home kilosa

Kuwaona wazazi wako sinto sita kbsa

Hiv kaka zako wapo? [emoji6] [emoji3] [emoji3] wasije npa vitasa

Sintojal mshikaji wako wa jf today it's me and you

If you say you love me baby I love too
Cc maurice bernad
 
Hahaha asipo nenepa leo...ndo bhc tenaaa
 
Honey Faith njoo wifi yangu umedondokewa humu
 
Back
Top Bottom