Njoo tuwatie moyo wavulana kulingana na uzoefu wako

Njoo tuwatie moyo wavulana kulingana na uzoefu wako

Mia saba

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2022
Posts
255
Reaction score
390
Suala la kukataliwa limewafanya wavulana kutotetea uanaume wao wakidhani kuwa, hapo walipo ni kwa neema tu na si uwezo binafsi.

Unakuta mvulana anachapiwa mbususu yake aliyoitolea kodi, ila bado ana mamlaka nayo. Wanaume, njoo umshauri mvulana afanye nini pale anapokataliwa na mpenzi wake.

Mvulana kumbuka muda siyo mrefu wanaume watasakwa kwa tochi katika jamii zetu.
 
Hamna cha kufanya, ukichapiwa wee endelea na maisha, omba Mungu
 
Watafute hela tu,na ubaya wa pesa haiwezi kukufata kama bado mvulana...wavumilie tu au waruke iyo hatua kama wanaweza
 
Akili ya mvulana lazima ichakate mahesabu ya namna ya kuwajibika ipasavyo kuhakikisha watoto wanapata mahitaji yote ya msingi. Hakuna kazi ngumu kama kusomesha watoto hasa kama unao wengi ...... Jasho litakutoka ihiiiiiiii.

Mungu ni mwema sana kila wakati

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom