Njoo tuzungumzie kuhusu Marketing kwa pamoja

Llio 002

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2015
Posts
1,636
Reaction score
2,053
Kuna vitu vingi saana vinavyochangiya biashara kukuwa kwa kasi na kuwa imara.Kampuni nyingi sana zilizofanikiwa katika nyanja tofauti kuna kitu kimoja wana share kwa pamoja ukiangalia wanakuwa imara kwa wateja wao yaani strongly customer focused and heavily commited to marketing.

Kazi kubwa ifanyikayo ili kutimiza hayo malengo ni lazima kumotivate kila mtu kwenye taasisi ili kuzalisha huduma iliyobora kwa wateja bila kuwa motivate itakuwa ni kazi bure.Pale huduma itakapo anza kutolewa vizuri kwa wateja ndipo tutakapopata kitu kiitwacho high level of customer satisfaction ( kiasi kikubwa cha ulizikaji wa wateja kwa huduma zitolewazo).

Marketing ni zaidi ya dealing with customer lakini pia creating customer value and satisfaction ndio moyo wa modern marketing.Unapoongelea kuhusu modern maketing ni marketing dealing with creating customer value and satisfaction.

Ili biashara yako ishamili ni lazima utengeneze wateja wa bidhaa zako na pia bila kuwalizisha hao wateja wako ujuwe hutobaki na mteja hata mmoja ni lazima uwalizishe wateja wako kwa huduma zako hapo ndipo tunapata customer satisfaction.

The goal of marketing ni kuvuta wateja wapya kwa kuwaahidi superior value and to keep current customer by derivering satisfaction.Baadhi ya watu wanazani kuwa makampuni makubwa tu ndio yanayotakiwa kufanya marketing lakini si kweli sound marketing is critical to the success of every organization iwe kubwa au ndogo.Nadhani utakuwa umepata kitu kidogo kuhusu marketing-its all around you

Jee hii Marketing ni kitu gani hasa na ndani yake kuna nini?

Tukutane baadaye tuzungumzie kuhusu marketing
 
Dah kwel kampuni za kibongo wanaweka effort kidogo sana kwenye marketing.. Angalia kampuni kama coca cola miaka almost 130 bado inadunda sokoni...si kwamba wana product nzuri kuliko wa2 wengine (debatable) ila its a matter of great marketing effort...fanya kazi na multinational company then njoo kwa izi zetu kuna tofauti kubwa sana, sisi tunaangaika na production wakati wenzetu wanaangaika ku outsource production ili wafocus kwenye marketing and distribution...its high time we change
 

Kampuni nyingi za bongo ni wavivu kufanya kutenga fungu flani la badget yake kwa ajili ya Marketing
 
What does the term MARKETING mean?

Watu wengi wanazani kuwa marketing ni kuuza na kutangaza tu (selling and advertising). Hivyo vyote kuuza na kutangaza ni sehemu tu ya begi la marketing (marketing ni kama begi ndani yake kuna vitu vingi sana) hata hivyo navyo ni vitu muhimu kwani huwezi kuwa na bidhaa zako halafu usiuze au usitangaze hapo utakuwa ufanyi biashara.

Today,marketing must be understood not kn the old sense of making a sale "telling and selling" inatakiwa itazamwe kimtazamo wa kisasa ni kama satisfy of customer needs. Katika biashara kama huja muwin mteja wako basi huwezi kukaa nae huyo mteja,na njia mojawapo ya kumuwin mteja ni kusatisfy needs zake.

Example,mwanaume anapoenda kumtongoza mwanamke maana yake kuna kitu amekiona kwa huyo mwanamke thats why anahitaji kuwa nae mwanaume atatongoza hapo na mwanamke akimkubalia huyo mwanaume na akakaa nae kwa muda flani asiwe ana mlidhisha mwanaume wake( mwanaume asiwe ana ridhika kwa mwanamke wake basi ujuwe hawawezi kudumu lazima wataachana.

Nimeuchukuwa huo mfano ili tuangalie ni kwa kiasi gani satisfaction of needs ni muhimu saana kwa mteja vinginevyo utawakosa wateja.
Kama mwanamasoko (marketer) atafanya kazi nzur ya kuwaelewa wateja wake wanahitaji nini ( maana kuna tofauti kati ya kuhitaji na kutaka kwenye biashara) na aka provide a product that provide superior value,and price,usambazaji (distribute) vile vile aka promote effectively basi ujuwe hiyo product itauza vizuri na kirahisi saana.Kama utafata principles za marketing vizuri ujuwe biashara yako lazima ifanye vizur,katika marketing hakuna uchawi hata kidogo bali ni mbinu tu kuzidiana.

Thus selling and advertising are only part of large marketing mix.

MARKETING NI NINI:what:
Marketi is a social and managerial process by which individuals and groups obtain what they need and want through creating and exchanging product and value with others

👆🏿hyo ndo maana halisi ya Marketing.

Jee NEEDS AND WANT ndo vitu gani hivi:what: Tukutane baadaye wan jamvi.

Ushauri,mawazo na michango yote mingine inahitajika plz usiweke matusi.
😀
 

Swala sio marketing pekee, swala ni What is your business model ? Kama ni marketing WHAT ABOUT CHINESE PRODUCTS (original), Chinese companies in marketing/ branding
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…