Llio 002
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 1,636
- 2,053
Kuna vitu vingi saana vinavyochangiya biashara kukuwa kwa kasi na kuwa imara.Kampuni nyingi sana zilizofanikiwa katika nyanja tofauti kuna kitu kimoja wana share kwa pamoja ukiangalia wanakuwa imara kwa wateja wao yaani strongly customer focused and heavily commited to marketing.
Kazi kubwa ifanyikayo ili kutimiza hayo malengo ni lazima kumotivate kila mtu kwenye taasisi ili kuzalisha huduma iliyobora kwa wateja bila kuwa motivate itakuwa ni kazi bure.Pale huduma itakapo anza kutolewa vizuri kwa wateja ndipo tutakapopata kitu kiitwacho high level of customer satisfaction ( kiasi kikubwa cha ulizikaji wa wateja kwa huduma zitolewazo).
Marketing ni zaidi ya dealing with customer lakini pia creating customer value and satisfaction ndio moyo wa modern marketing.Unapoongelea kuhusu modern maketing ni marketing dealing with creating customer value and satisfaction.
Ili biashara yako ishamili ni lazima utengeneze wateja wa bidhaa zako na pia bila kuwalizisha hao wateja wako ujuwe hutobaki na mteja hata mmoja ni lazima uwalizishe wateja wako kwa huduma zako hapo ndipo tunapata customer satisfaction.
The goal of marketing ni kuvuta wateja wapya kwa kuwaahidi superior value and to keep current customer by derivering satisfaction.Baadhi ya watu wanazani kuwa makampuni makubwa tu ndio yanayotakiwa kufanya marketing lakini si kweli sound marketing is critical to the success of every organization iwe kubwa au ndogo.Nadhani utakuwa umepata kitu kidogo kuhusu marketing-its all around you
Jee hii Marketing ni kitu gani hasa na ndani yake kuna nini?
Tukutane baadaye tuzungumzie kuhusu marketing