Njoo uchague mmoja wa Kumpulizia

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
Hizi ni pafyumu zenye sumu,
Ambazo inasemekana kwamba Utakuwa na siku tatu tu za kuishi endapo utajipulizia

Sasa Ukiambiwa umchague mmoja wa kumpulizia, Utamchagua nani?
 
nasubiria wa kunipulizia ili nimjue adui yangu kabisaaa
 
itanichukua siku 3 mpaka kufa na kabla sijafa nita-bounce back kwa yule adui yangu
Shida yote hiyo ya nini?
na ukimkosa utafanya nini? au utamsubiria kwa sir God ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…