Njoo uchague mmoja wa Kumpulizia

Njoo uchague mmoja wa Kumpulizia

Aliuliwa na wanaomdai? Au kifo chake hakiusiani na madeni yake?

Hakuuawa na wanaomdai, ila kifo kilikuwa na uhusiano na madeni.

Kuna kipindi alisikia kuna jamaa anataka kununua ranch na yeye alikuwa anamiliki ranch, akasafiri kwenda kuonana na huyo jamaa alipofika kule ikaonekana mnunuaji anataka kaeneo kadogo tu siyo kama jamaa alivyotegemea, sasa wakati wa kurudi wakiwa kwenye bus waliona spaceship (chombo kinachobeba aliens wakati wakisafiri angani) ikidondoka huku ikiwa na aliens wawili wamefariki, sasa serikali za mataifa makubwa zikaweka operation ya kuhakikisha kila aliyeona anakufa ili kupoteza ushahidi.
 
Gentamycine, Lizabon, Faiza foxy, Barbosa and company
 
Back
Top Bottom