Kuna kipindi alisikia kuna jamaa anataka kununua ranch na yeye alikuwa anamiliki ranch, akasafiri kwenda kuonana na huyo jamaa alipofika kule ikaonekana mnunuaji anataka kaeneo kadogo tu siyo kama jamaa alivyotegemea, sasa wakati wa kurudi wakiwa kwenye bus waliona spaceship (chombo kinachobeba aliens wakati wakisafiri angani) ikidondoka huku ikiwa na aliens wawili wamefariki, sasa serikali za mataifa makubwa zikaweka operation ya kuhakikisha kila aliyeona anakufa ili kupoteza ushahidi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.