Hahahaa. Nna changu nashindwa kukituma humu jamaani. Lolhajar njoo huku haraka kasie kaamua atukonge nyoyo leo
Watu wanaingia vibaruani kutafta RIZKI asubuhi hii,Mleta Uzi anatafta Umbea Asubui subui
Mhhhh,,inawezekana
Mleta mada anaweza kuwa na ukoo na kina Nabii tito,Wastara,Na Dr,Luis Shika[emoji1321]
Hahahaa. Nashindwa kuki upload humu.Usishindwe wee weka tuu au tuma PM tukisaidie kukirusha.
ngoj nilete changu kasie unitafutieHahahaa. Nna changu nashindwa kukituma humu jamaani. Lol