Njoo Uchukue Vijembe Vyako......

Njoo Uchukue Vijembe Vyako......

Kasie

Platinum Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
22,379
Reaction score
41,294
Heheheheee heeheeiiyaaaa.....

Waaalaaaaaaaaaahhh

Leo ni alhamis na ndo kumekucha hiviii. .... kila mmoja... soma, sikiliza kisha pata kijembe chako. Kila mmoja anacho chake.

Nawe kana unakijembe cha mwingine... muwekee kisha umtaje aje akisome. Ukiona aibu kumwambia au kumtaja wee nitumie PM kijembe na mhusika mie namuweka hapa pia ntakutaja kuwa kijembe kimetoka kwako.

Kazi usiku, leo siku nzima vijembe tuu.

Kasie Matata.


1. Kinyago cha mpapure. .... .mwenye yake meza hiyo dozi kutwa mara tatu.
 


Kingine hichoooo. ...... mtakuja nacho kijana cha rohooo. ..... mtakuja nayooo roho mbaya na choyoooo.

Najua kuna wataojiuliza. .... hivi kumbe Kasie mswahili hiviii..... Kasie sio tuu mswahili, nimekulia uswahilini vijembe ni kama salamu. Basi tuu ustaarabu tuliupata ukubwani hehehehehehehehee heeheeiiyaaaa.
 
Watu wanaingia vibaruani kutafta RIZKI asubuhi hii,Mleta Uzi anatafta Umbea Asubui subui
Mhhhh,,inawezekana
Mleta mada anaweza kuwa na ukoo na kina Nabii tito,Wastara,Na Dr,Luis Shika[emoji1321]
 
Watu wanaingia vibaruani kutafta RIZKI asubuhi hii,Mleta Uzi anatafta Umbea Asubui subui
Mhhhh,,inawezekana
Mleta mada anaweza kuwa na ukoo na kina Nabii tito,Wastara,Na Dr,Luis Shika[emoji1321]

Angalizo lilishawekwa tangu mwanzo.... kazi usiku.
 
[emoji444]Kateni shingo tieni mfukoni,.. Mnashangaa niniiii [emoji108]
Mambo ndivyo yalivyoooo .. Wapambe msitujadili ..
Mimi na mpenz wangu (baba p) tuachen kama tulivyo[emoji108]
Msitake kuyajua mapenzi yetu yalivyo....[emoji108][emoji108][emoji108][emoji108][emoji108]
 
Back
Top Bottom