Hahaaa. Dada Niwekee kile Hasara Zenu cha Zuhura Shaban.Weka tuu hapa kwa raha zako..
Hahahaaa. Sio kwa kujihami huko Dada.
Kingine hichoooo. ...... mtakuja nacho kijana cha rohooo. ..... mtakuja nayooo roho mbaya na choyoooo.
Najua kuna wataojiuliza. .... hivi kumbe Kasie mswahili hiviii..... Kasie sio tuu mswahili, nimekulia uswahilini vijembe ni kama salamu. Basi tuu ustaarabu tuliupata ukubwani hehehehehehehehee heeheeiiyaaaa.
nibwagie mie sina nakipenda hatrLet tuu mwaya ntakibwaga hapa pwaaaahhh
haha visokorokwinyo hawakuwepo [emoji108] [emoji108][emoji444]Kateni shingo tieni mfukoni,.. Mnashangaa niniiii [emoji108]
Mambo ndivyo yalivyoooo .. Wapambe msitujadili ..
Mimi na mpenz wangu (baba p) tuachen kama tulivyo[emoji108]
Msitake kuyajua mapenzi yetu yalivyo....[emoji108][emoji108][emoji108][emoji108][emoji108]
Kasie hebu nipe kijembe kwa ajili ya visokolokwinyo wanaotaka kuingilia penzi langu na mme wanguuuuuu
Hehehehehehhhiyaaaaa hahahahahaha sasa iweje wajipe vibaruaaaaaa visvyokuwa na malipoooo!!!!haha visokorokwinyo hawakuwepo [emoji108] [emoji108]
Hahahaaaaa. Nimecheka sana.Mtazidi kunichukiiia na dunia mtaiyona motoo
Kindumbwe ndumbwe
hahha nichumu tenaaHehehehehehhhiyaaaaa hahahahahaha sasa iweje wajipe vibaruaaaaaa visvyokuwa na malipoooo!!!!
[emoji108][emoji108][emoji108]
Mwaka huuu lazima waji murder..
Hahahh.Hahahaaaaa. Nimecheka sana.
VIFUU TUNDU hiyo Lol.
Umesahau kuna kasehemu kanasema " kanunua simu kampa demu walipoachana kampokonya" lolhahha nichumu tenaa
wapo wengi haoo hihihi penz likiisha anadai vyake huhuuuUmesahau kuna kasehemu kanasema " kanunua simu kampa demu walipoachana kampokonya" lol
Hahahaaaaa.
Mh,hatari huyuhuyu tabibu wetu,hahaha.Kasie hebu nipe kijembe kwa ajili ya visokolokwinyo wanaotaka kuingilia penzi langu na mme wanguuuuuu
Mmmmmmmwaaahhhhhhhhhhhahha nichumu tenaa
Hii akipata chance da Kasie akirushe tu. [emoji2] [emoji2] [emoji2]wapo wengi haoo hihihi penz likiisha anadai vyake huhuuu
[emoji445] katika hii dunia utapamban na mengiWazuri na wabaya wote wamo dunianii...
Waja wana roho mbaya wasokuwa na shukrani...
Maama nipe radhii nipe radhiiii kuishi na walimwengu kweli kaziiiii[emoji108][emoji108].....
[emoji444]mama nipe radhi binadamu hawana haya.. Kila nifanyalo hawaish kunisemaa...
Waja wana roho mbaya wametawaliwa na chuki.. Waniombea mabaya japokuwa mola hatakiii...[emoji108][emoji108]
kabisa shooHii akipata chance da Kasie akirushe tu. [emoji2] [emoji2] [emoji2]