Njoo Uchukue Vijembe Vyako......

Njoo Uchukue Vijembe Vyako......

Kingine hichoooo. ...... mtakuja nacho kijana cha rohooo. ..... mtakuja nayooo roho mbaya na choyoooo.

Najua kuna wataojiuliza. .... hivi kumbe Kasie mswahili hiviii..... Kasie sio tuu mswahili, nimekulia uswahilini vijembe ni kama salamu. Basi tuu ustaarabu tuliupata ukubwani hehehehehehehehee heeheeiiyaaaa.
Hahahaaa. Sio kwa kujihami huko Dada.

Taarab ina utamu wake bana.
 
[emoji444]Kateni shingo tieni mfukoni,.. Mnashangaa niniiii [emoji108]
Mambo ndivyo yalivyoooo .. Wapambe msitujadili ..
Mimi na mpenz wangu (baba p) tuachen kama tulivyo[emoji108]
Msitake kuyajua mapenzi yetu yalivyo....[emoji108][emoji108][emoji108][emoji108][emoji108]
haha visokorokwinyo hawakuwepo [emoji108] [emoji108]
 
Kasie hebu nipe kijembe kwa ajili ya visokolokwinyo wanaotaka kuingilia penzi langu na mme wanguuuuuu

Hahahahhaaa wape hii dozi hapa.....

Waambie wainywe kutwa mara sita ili iwaingie vizuri. Kwa raha zenu na mpenzi wako.... wawaache myafurahie mahaba yenu.

Furaha mamaa neng'eneka mtoto wakike. .... rindima mamaa hadi mshana jr anyooshe mikono heheheeeeeeee Koolooompaaaa.

Kila la kheri mama kwwnye jahazi lako la mahaba. Mola awalinde na kuwanusuru na wenye vijiba vya roho.
 
Wazuri na wabaya wote wamo dunianii...
Waja wana roho mbaya wasokuwa na shukrani...
Maama nipe radhii nipe radhiiii kuishi na walimwengu kweli kaziiiii[emoji108][emoji108].....
[emoji444]mama nipe radhi binadamu hawana haya.. Kila nifanyalo hawaish kunisemaa...
Waja wana roho mbaya wametawaliwa na chuki.. Waniombea mabaya japokuwa mola hatakiii...[emoji108][emoji108]
 
[emoji445] katika hii dunia utapamban na mengi
muhimu kuvumilia ndio jambo la msingi
mamaa nipe radhiii nipe radhii kuishi na watu kweli kaziii[emoji445]
 
Back
Top Bottom