Hahahaaaa. Linayemuhusu kama yupo mdogo wangu.limfikie nani hili[emoji85] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaaaa. Linayemuhusu kama yupo mdogo wangu.
Teh teh teh.
hahaha nakuona homie
Kingine hichoooo. ...... mtakuja nacho kijana cha rohooo. ..... mtakuja nayooo roho mbaya na choyoooo.
Najua kuna wataojiuliza. .... hivi kumbe Kasie mswahili hiviii..... Kasie sio tuu mswahili, nimekulia uswahilini vijembe ni kama salamu. Basi tuu ustaarabu tuliupata ukubwani hehehehehehehehee heeheeiiyaaaa.
Huu sijaupata. ..... ila naendelea kuutafuta
Hahahahha.Huu sijaupata. ..... ila naendelea kuutafuta
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji30][emoji30][emoji30]Kasie hebu nipe kijembe kwa ajili ya visokolokwinyo wanaotaka kuingilia penzi langu na mme wanguuuuuu
Me naona bora mfanye yano wahusu uo umbea wenu msopitwa Kama kasuku..."Wao wao wao wajuaji wa kusema" Vifuu tundu
"Wao wao wanasema yaso mana"
"Mwanamke mmbea utamjua tu mdomo wake mweusi kama kunguru"
Hahahaaaaaa.
[emoji23][emoji28][emoji23] hahahaKwakuwa huu uzi ni wa vijembe, mie nakujibu kwa vijembe tuu....
Meza hiyoo....
Kisha ongeza na hii. ......
kijembe ndio nn kwanza?[emoji20] si ni mambo yenu wanawake hayo au!!Sema homie, nawewe nikutafutie kijembe chako? ? Au kama una kijembe changu wee nipe tuu au kama una kijembe cha mtu mwingine kiweke hapa.
[emoji23][emoji28][emoji23] hahaha
hivi hizi nyimbo bado zipoo wanaimbaga?
taarabu zilikua zile za zamani wanaimba mapenzi kwa ustadi na utulivu, hizi zenu siku hizi ni maneno ya hovyo hovyo tuu kusemana semana,Zipooo tena usiombe zikuingie kwenye damuu. ... utakuwa huwezi kulala bila kusikiliza nakucheza juu aahahahahhahaa looh ila usiweke kidole juu unaweza toboa dari au ukakatwa na feni eehehehehehehehehheheheeeee Kasie mie.... acha tuu Mungu ndo ananijua vema.
Hhahahaaaaaaa.Me naona bora mfanye yano wahusu uo umbea wenu msopitwa Kama kasuku...
Me naona bora mfanye yano wahusu uo umbea wenu msopitwa Kama kasukuuuu
Ninyi Kama kasuku mmenifata hukuu???.
√√√√√√
HapanaMaana ya mipasho unaijua?