Njoo Uchukue Vijembe Vyako......

Njoo Uchukue Vijembe Vyako......

Heheeee sura huna mpaka ujing'are na karo laiti hee ee Dada kilinda kinetoboka chupi mshipi domo kubwa minjino ya njano
 
Hahahahhaaa wape hii dozi hapa.....



Waambie wainywe kutwa mara sita ili iwaingie vizuri. Kwa raha zenu na mpenzi wako.... wawaache myafurahie mahaba yenu.

Furaha mamaa neng'eneka mtoto wakike. .... rindima mamaa hadi mshana jr anyooshe mikono heheheeeeeeee Koolooompaaaa.

Kila la kheri mama kwwnye jahazi lako la mahaba. Mola awalinde na kuwanusuru na wenye vijiba vya roho.
Na imepenyaaaaaaa kweli kweli [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]
 
kasie niwekee mdudu wa sikio naupenda huu wimbo mweny nao please auweke hapa
 
Hhahahaaaaaaa.

Worieeee. Uliona wapi nyumba ya udongo ikapigwa deki. Inahuuuuuuuu
We ndara tu thamani yako chooni, chumbani unaishia mlangoni.. Wambieeeeeeeeeee


Ila wasanii hawa sijui wanatoaga wapi haya maneno.
Hahahahaah.
Ata sieleewi jmn raha utamu
Mpka najikojolea kwa kicheko
 
Huu Uzi itasababisha wanawake washoneane sare za madela kabla ya kuingia humu
 
Back
Top Bottom