Nguva Jike
JF-Expert Member
- Jan 22, 2018
- 1,226
- 1,757
Na imepenyaaaaaaa kweli kweli [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]Hahahahhaaa wape hii dozi hapa.....
Waambie wainywe kutwa mara sita ili iwaingie vizuri. Kwa raha zenu na mpenzi wako.... wawaache myafurahie mahaba yenu.
Furaha mamaa neng'eneka mtoto wakike. .... rindima mamaa hadi mshana jr anyooshe mikono heheheeeeeeee Koolooompaaaa.
Kila la kheri mama kwwnye jahazi lako la mahaba. Mola awalinde na kuwanusuru na wenye vijiba vya roho.
Huyo huyooooMh,hatari huyuhuyu tabibu wetu,hahaha.
oooh ngoj niende[emoji124]Kaiweka jakitooo.
Post #2
Nimerekebisha ni no #4oooh ngoj niende[emoji124]
Ila wewe unaulinzi wa kutosha kutoka kwa yule bwana.Huyo huyoooo
Kweli kabisaaa ulinzi siyo wa nchi hiiiIla wewe unaulinzi wa kutosha kutoka kwa yule bwana.
Hahahahaah.Hhahahaaaaaaa.
Worieeee. Uliona wapi nyumba ya udongo ikapigwa deki. Inahuuuuuuuu
We ndara tu thamani yako chooni, chumbani unaishia mlangoni.. Wambieeeeeeeeeee
Ila wasanii hawa sijui wanatoaga wapi haya maneno.
mmmh kojo hilo veepe
Hahahahaa. Nimejikuta dada yako nimebaki mdomo wazi tu hata nisijue mkojo gani anaouzungumzia ambao unatoka kirahisi hivyooooo.mmmh kojo hilo veepe
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahaa. Nimejikuta dada yako nimebaki mdomo wazi tu hata nisijue mkojo gani anaouzungumzia ambao unatoka kirahisi hivyooooo.
umeonaeeeeeeeeee yani hii nyimbo inanikunaaaajeee shosti...lol[emoji445] wabayaaa kweli wabayaa binaadamu hawana wema
hawana wema wala shukurani[emoji445] daah mekumbuka mbali sana asante kasie