Hahaha msalimie hajarhajar njoo huku haraka kasie kaamua atukonge nyoyo leo
zimefikaHahaha msalimie hajar
sawaPoleee, rudi kinyumenyume kama ulivo ingia heheheheh
Basi hizi za fatma mcharuko siwaguni wala siwakohoi na asokasoroNimeukosa mwaya....
asante dad
Rindima mamaa..... kwa raha zako.
Basi hizi za fatma mcharuko siwaguni wala siwakohoi na asokasoro
Niwekee hizo basi kasie kama sanamu la michellin hamnaWalaaah, tunashindana kupaka wanja, kurembua macho, kunengua bila kupigana hehehehehe
Taaraab imooo humooo! !?? Taaraab hoyeeeee.
"Mwanamke jeuri dawa yake muibie mumewe"
Kwa wanawake jeuri wotee[emoji23] [emoji23] [emoji23]