Njoo ujifunze kukaanga nyama ya bata

Njoo ujifunze kukaanga nyama ya bata

Nyama ya bata ni tamu, Nyama ya ya bata ni tamuuuuuuu.

Huyu kiumbe niliwahi kula mara moja tu tena sikujua kama ni yeye na alikua mtam ila ajabu kila nikimuangalia naona hapana aiseee sijui kwann kanikalia kushoto.
 
Angemalizia kuwa zinaongeza makalio kwa mwanamke na nguvu za kiume kwa wanaume.
 
KWANI HUYU KWAO NI PALE IKULU.
Umepatia kidogo. Ni wa njia panda Veta ukitokea Ilomba kabla haujafika Mama John,pandisha kulia pale juu mlimani kwenye shamba la Mwantande.Yaani mtaa wa Ikulu-Ilemi Mbeya[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Umepatia kidogo. Ni wa njia panda Veta ukitokea Ilomba kabla haujafika Mama John,pandisha kulia pale juu mlimani kwenye shamba la Mwantande.Yaani mtaa wa Ikulu-Ilemi Mbeya[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
haya natafuta nauli kupaona mahali hapo
 
Vya ukweli ukweli nilimaanisha hizi hizi nguvu za "kwenda na kurudi" bila kuchoka..
Maana akichomwa ana style yake ya kukaa kwenye chombo[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
😀 😀 😀 😀
Anakuwa kama anacheza kidali poo
 
😀 😀 😀 😀
Anakuwa kama anacheza kidali poo

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
tapatalk_1522149859533.jpeg

Numbisa anakuona ujue...
 
Kuna watu wanakosa vinono...daah
kwako vinaweza kuwa vinono kwangu ni uchafu just imagine nikisikia harufu ya nguruwe naweza kutapika kabisa nacheua na kuumwa kichwa napenda bia lakini baa zenye kuuza kitimoto labda niwe na ulazima wa kuwa hapo vinginevyo nachefukwa
 
Back
Top Bottom