Njoo ujifunze kutengeneza masweta, kofia na soksi za watoto ndani ya mda mfupi ujiajiri!

Njoo ujifunze kutengeneza masweta, kofia na soksi za watoto ndani ya mda mfupi ujiajiri!

IMG_20180331_095013.jpg
 
Karibuni! Wale mlioko mikoani tunaweza Kutoa mafunzo kwa vikundi kwa makubaliano maalum.
 
Ndugu wanabodi,tunafundisha utengenezaji Wa masweta,kofia nk.Ada yetu ni tsh 350,000/=(laki tatu na nusu,) na unaweza kulipa kwa awamu mbili.Mda Wa mafunzo ni miezi 2 lakini tunaweza kuongeza mwezi mmoja bure iwapo hujaelewa.Unaruhusiwa kuchagua mda wewe mwenyewe kati ya SAA 2 asubuhi hadi SAA 2 usiku.Tunapatikana Tabata Dsm 0626 869587.

NB:Ikiwa utalipa ada yote kwa mkupuo mmoja(Single installment) utalipia tsh 250,000/= tu.
kwa wiki mbili je maweza kupata maelekezo nikarudi kufanya kaz zangu? na mashine naweza pata?
 
Nipo Mwanza, nahitaji mafunzo hayo pia nina watu wa ziada wawili.
 
[QUOTE="Ninaweza, post: 26553686, member: 3331
 
Tunatoa pia mafunzo kwa vikundi kwa walioko mikoani tutawafuata hukohuko.
 
Karibuni
 

Attachments

  • IMG_20180405_092932.jpg
    IMG_20180405_092932.jpg
    108.8 KB · Views: 41
Ndugu Fahari
Naomba unielekeze duka linalouza hizo machine kwa hapa Dar es salaam. Nataka niwatembelee ili kujua bei zao ili iwe rahisi kwangu kumleta mtu hapo nikijua atapata ujuzi na kuutumia.
 
Back
Top Bottom