Njoo ujifunze kutengeneza masweta, kofia na soksi za watoto ndani ya mda mfupi ujiajiri!

Karibuni! Wale mlioko mikoani tunaweza Kutoa mafunzo kwa vikundi kwa makubaliano maalum.
 
kwa wiki mbili je maweza kupata maelekezo nikarudi kufanya kaz zangu? na mashine naweza pata?
 
Nipo Mwanza, nahitaji mafunzo hayo pia nina watu wa ziada wawili.
 
[QUOTE="Ninaweza, post: 26553686, member: 3331
 
Tunatoa pia mafunzo kwa vikundi kwa walioko mikoani tutawafuata hukohuko.
 
Karibuni
 

Attachments

  • IMG_20180405_092932.jpg
    108.8 KB · Views: 41
Ndugu Fahari
Naomba unielekeze duka linalouza hizo machine kwa hapa Dar es salaam. Nataka niwatembelee ili kujua bei zao ili iwe rahisi kwangu kumleta mtu hapo nikijua atapata ujuzi na kuutumia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…