Njoo ujifunze kutongoza ni rahisi tu (Matokeo Siku 3 tu)

Surya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
8,774
Reaction score
13,566
Usijaribu kudate na Mwanamke asiye na hisia na wewe.

Fanya udadisi... ndipo mtongoze kwa kumwambia hata mimi nahisia sana na wewe.

Examples of Questions;
Unamwanaume, Yes or no
If yes, vip unalidhika nae anakufikisha kunako vizuri, is he romantic?

if No, Vipi ukiwa na mimi.. ? Look at me, am handsome or not..?
ok, niambie unampango wa kuingia kwenye mahusiano..??
au uko busy sana , no time for Love..and sex ?

Akienda vizuri kwenye haya maswali akaonesha kuvutiwa na mimi basi ndio nitaanza kumfungukia kuwa hata mimi nina hisia nae na nina siku nyingi sipo kwenye mahusiano.
Tunaweza kudate, nikubali coz naona unanifaa.

Ila mwanamke akijifanya kuruka na kushindwa kujibu kuwa she need a boy or she like/love me.

Basi nampotezea coz atanisumbua tu huko mbeleni na kama sio jasiri kujibu maswali yangu nakuwa na uhakika huyo mwanamke hanipendi au hana hisia na mimi. coz am gentleman na mwanamke kunitakaa ni awe hana hisia kabisa na mimi au katekwa sehemu na mwanaume ayempatia kila kitu.

Nikijua anahisia na mimi ila anapata wasi wasi fulani wa kunikubalia, nitazidi kumpeleleza.

Mala nyingi mwanamke humkataa mwanaume sio kwasababu hamtaki au hafai, bali huwa ni Fear (Kuogopa) akiwaza wewe ni malaya na umepanga kumchezea na kumuacha au hana hata sifa unazozitaka wewe umekuja na tamaa zako tu za muda mfupi.

Jua kwanza ni single mother or not.
(I love single mother, coz they have experience 😁😍🤩)
Kama ni single mother, muoneshe ni sawa tu, and you can able to be a Stepfather.

Rudi kumsifia na kuonesha hata wewe unahisia nae za kimapenz.. sana tena sana.
Note: Msifie sifa ambayo kweli anazo, usimpake mafuta kwa mgongo wa chupa.

Kwasababu kama ni mjanja atajua jinga hili linanidanganya. 🤣🤣😆

mfano, kama ana rangi nzuri sifia rangi yake,
Kama ni baby face, sifia.
Kama ni Tall sifia napenda warefu.
Kama ni ana minyama, kuwa marioo hapo na wewe.

Kama anazo saa sita sifia, kana hana kausha utabugi 😃😆😀

Kam ni mpole, sifia upele wake sema napenda mademu wapole, kumbe wap, mpenda fujo tu 😅😅😄

Jambo la mwisho ambalo ni Gumu kidogo, na ukilifanikisha basi ukija kumbwaga ghafla atapatwa na msongo wa mawazo ni kumuonesha wewe utakua mtatuzi wa matizo ama changamoto zake zote za kimaisha.
Mchimbe ujue kapungukiwa nini as a dream kwake, na muoneshe utakavyoshiriki ili yeye afikie ndoto zake. hata kama nizakijinga 😆😀

kama ni kuolewa haya, kama ni mpenda hela hayaaaa, kama ni .....

Ila tuache utani aiseee mostly of girls hisia zenu zipo kwenye fedha..
sasa dawa yenu kuwadanganya ni kuwapa ahadi nyingiiiii na unampa vichache kulingana na anavyo stahili.

Hadi hapo mwanamke lazima umkamate, akiringa achana nae tu, wanawake ni wengi tafuta mwingine.

Hello guys napita tu huku MMU
naelekea jukwaa la jamii intelligence huko.. nina story za Elon Musk kama zote...
 
Chai
 
bara la giza tutafika tumechoka sana
 
uzi umekaa kibabe sana

Ila so mbaya "hakuna muda wa kupakana mafuta"
 
mh! hata kama sijui kutongoza maswali ya mahusiano yake yakazi gani!,hapo ni kumwaga sera hata kama yupo kwenye mahusiano ye mwenyewe aone yamepotea ghafla!..😂
unamtongoza mchumba mpaka simu yake ikiita anakata!,ikiita tena anaweka kindege anakusikiliza mwamba!.. by the way wanawake wanatofauti wengine wanatongozwa kwa matendo kwanza unakuta mpk unamtafuna ndo unakuja kuanza kumuambia "i love you"..
 
Matendo kitandani mbali na hapo ni kujitafutia kuchunwa 😬🤣
 
Back
Top Bottom