SOFTWARE Njoo ujipatie Blog, Personal website &Portfolio For Free

SOFTWARE Njoo ujipatie Blog, Personal website &Portfolio For Free

Cpanel Installation in 24 hrs...
-You can turn it into Blog
-Portfolio
- Business or
- Personal Website

Live demo www . monkhouse .co .tz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nahitaji hyo mkuu
Kama ulikua na ndoto ya kumiliki Blogs,Personal Website au Portfolio kwa kuonyesha kazi zako Mbali mbali ila ulikua hujui jinsi ya kuanza au umekutana na watu waliokutajia gharama kubwa

Solution imepatikana.
Kanlexsoft tumekutengenezea Hiblogster Platform iliyokidhii mahitaji yako yote,
Best part ni kwamba tunakupa license ya kutumia software hii for Free

View attachment 1342273
Hiblogster ni super fast,ina muonekano wa kisasa na more secure

KEY FEATURES
  1. Private Message system
->Watembeleaji wa website yako watakua na uwezo wa kutoa maoni yao,kuuliza maswali au suggestions na jumbe zao zitakufikia kwenye admin panel yako
->Pia wanauwezo wa kuweka picha au video katika jumbe zao

2.Awesome Admin Dashboard
Hiblogster ina Admin Dashboard ambayo ni rahisi sana kuitumia na ina tools zote muhimu za kumanage website yako

3.Rich Text editor
=>Kwa ajiri ya kukusaidia kuchapisha machapisho yako kwa urahisi zaidi,unaweza ku insert tables,kuweka picha,Videos,Selecting Different Fonts etc

4.Ads ready
Kama una active account ya Google adsense, Hiblogster ina kupa option ya ku insert adsense codes zako,na matangazo yataanza kuonekana automatically kwenye site yako.Pia Platform yetu ina support aina yoyote ya ads..

5.Image Optimization library
=>Hi ni special library ambayo tumeitumia katika software hii,kazi yake ni kuhakikisha picha zote zinakua katika quality nzuri, just like instagram
Logic ni kwamba picha zako zote zitakua resized katika squre bila kuathiri pixels zake


5.Video embedding,unaweza ku attach youtube au instagram video na watu watazitazama bila kuondoka katika site yako

6.Easy customization
Bila kuhitaji skills zozote za code,Hiblogster ina kupa uwezo wa ku customize jina la website,profile picture yako,meta description ya website yako na kuweka link za mitandao yako ya kijamii

7.Social share
=>Unaweza kushare contents za website yako katika social platfrom yoyote ile

Kucheck demo ya hii platform
Visit... www . monkhouse . co .tz (Bila kuacha nafasi)


Hii platfrom ni free,tunakupa license ya kuitumia kwa Tsh 0.

REQUIREMENTS
1.Idea yako ya biashara
2.Uwe na Account yako ya Cpanel
3.Uwe serious tu

Tumeandaa Good documentation kuhusu Jinsi gani utaweza kuiweka katika Cpanel yako kama wewe ni Developer

TECHNOLOGY USED:
  1. Laravel framwork version 6.10 (Backend)
  2. Boostrap 4 &Vue.js(Front end)
  3. Files included(Javascript,Scss,css,sass,less,Vue etc
Kama unahitaji website bila kutumia gharama yoyote....Soluhisho limepatikana.

Ni free software lakini ina features zote unazotamani kwenye webiste yako,huna haja ya ku spend Pesa nyingi tena kwa web developer

Kwa maswali,au msaada tucheki via 0623391590

KWA NON DEVELOPER
=>
kama utapenda kutumia software yetu make sure una laravel developer kwa ajiri ya installation process,kwa baada nzuri huduma hii tutakupa na ndani ya masaa 24 website yako itakua live

Demo: www . monkhouse . co .tz
View attachment 1342334

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom