NJOO UMTAJE MTU MAARUFU AMBAE HAJABAHATIKA KUFAHAMIWA NA WEWE KWA SURA.

FK21

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2019
Posts
8,600
Reaction score
10,760
Habari za ijumaa mabibi na mabwana?
Lengo kuu la hii mada ni kutaka kuwajua baadhi ya watu ambao siwafahamu nasikia sikia tu majina yao yakitajwa lakini siwafahamu hata jinsia zao
Wafuatao ndio wahusika
1.LALA LAVA.

2.LULU DIVA

3. AMBER RUTTY

4.MARIOO

5.KI2GA

6. BILLNAS

7.IDRIS

8.MO DEWJI

9.MSAGA SUMU

10.NANDY

hayo majina nayasikiaga Sana ili nikijitahidi kuwafahamu wahusika nashindwa naomba kama kuna mtu anapicha za hao watu aweke niwafahamu .
 
msaga sumu ana pengo hilo

mpaka najiuliza kama yupo hai pengo lake limeshindwa kuzibika

akifa watu hawatafikiria kuziba pengo lake
 
Mimi nafikiri kama unataka kuwafahamu kiundani ungejaribu kuGOOGLE ndugu yangu....humu utaambulia matusi tu jamaa
 
Weee kende la mbwa
 
Naomba uniambie hali ya hewa ya kijambio chako je kina unyevu unyevu kama nilivyokiacha?
Vipi kunamakata mavi huko chini au barabara ni capeti napita bila kugusa kingo za mavi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nyete
 
Vipi kunamakata mavi huko chini au barabara ni capeti napita bila kugusa kingo za mavi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nyete
Unaonekana Kwa uandishi wako tu uko nyuma kutamu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…