FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 8,600
- 10,760
Habari za ijumaa mabibi na mabwana?
Lengo kuu la hii mada ni kutaka kuwajua baadhi ya watu ambao siwafahamu nasikia sikia tu majina yao yakitajwa lakini siwafahamu hata jinsia zao
Wafuatao ndio wahusika
1.LALA LAVA.
2.LULU DIVA
3. AMBER RUTTY
4.MARIOO
5.KI2GA
6. BILLNAS
7.IDRIS
8.MO DEWJI
9.MSAGA SUMU
10.NANDY
hayo majina nayasikiaga Sana ili nikijitahidi kuwafahamu wahusika nashindwa naomba kama kuna mtu anapicha za hao watu aweke niwafahamu .