Yaani huwa nazitamani za mshana jr hivi zina raha?
Mie nazeekea jf sasa na sinazo hata za kutosha
Ntakuwa bibi bila hata like 500?
Hebu nipeni jamani, tena za kutosha,
Nipeni za kutosha na mimi ntawapa nanilii, ile naniliu nini ile?
Ile nyeusi inaitwaje?
Inaitwa like!!
Nipe nikupe!
Hahahahaaa., hapa harudiii kuuliza
Thanks MBIMBINYO ahahahahahah
Jina lako tamu!!!
Ushindwe kwa jina la JF
Unaniletea majaribu eehh?
Ila Tamuuuu!!!
teh teh teh
Leo hii ukiwaonyesha picha hii watakana na kujuta kama Wema Sepetu