Njoo unipe like Pliz, Nataka niwe nazo nyingi

Njoo unipe like Pliz, Nataka niwe nazo nyingi

Msherwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2012
Posts
1,323
Reaction score
1,230
Yaani huwa nazitamani za mshana jr hivi zina raha?

Mie nazeekea jf sasa na sinazo hata za kutosha

Ntakuwa bibi bila hata like 500?

Hebu nipeni jamani, tena za kutosha,

Nipeni za kutosha na mimi ntawapa nanilii, ile naniliu nini ile?

Ile nyeusi inaitwaje?

Inaitwa like!!

Nipe nikupe!
 
images-1.jpeg

swissme
 
Ukiwa hutoi likes na wewe hutapata jifunze kutoa kwanza..😀😀😀😀😀
 
Nimekwisha like kama Kuna lingine omba nione kama na lenyewe nina UWEZO nalo
 
Ningetoa ila hio nyeusi tena hapana labda iwe Range Rover
 
Bora wewe umesema ukweli Lumumba wengine ni utumbo tu......√√√
 
Back
Top Bottom