NJOO UONE UCHAWI LIVE HUKU.

NJOO UONE UCHAWI LIVE HUKU.

AL SADY OLPLANER

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2016
Posts
294
Reaction score
211
#Uchawi_ukiamua_kuja_Unakuja_tu.......

Embu Fikiria upo zako unatembea unakutana na binti Mrembo Halafu upepo mkali Unakuja na kumfumunua yule binti gauni lake, lakin upepo huo huo unakuletea takataka machoni na Huoni kitu...
#Kama_sio_Uchawi_Ni_nini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tanzania ya viwander hii acha dawa za kulevya ndugu
 
Kwi kwi kwi kwi! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom