Njoo utoe stress zako kistaarabu kwa anaekukera humu JF.

Njoo utoe stress zako kistaarabu kwa anaekukera humu JF.

nimetoka kwenye ban ya 7 days
kosa nilimtaja an eagle ndo genta
nahisi alini report kwa mods nile ban

sasa saivi kama mbwai acha iwe mbwai! i wont play nice kwa boya yeyote yule. hata yule kikongwe mwenye matusi ya nguoni mnaedai kuwa kama mama yenu. nae pia saivi akileta ujinga namfanyia fujo zisizoumiza.

nimevurugwa
 
Ahahahaha!! Pole sana Pancho.
 
Pendaneni
Sameheaneni mnapokoseana
Maisha yaendelee

Kumchukia MTU hakukupi nafuu wala faida yoyote,kuwa na hasira ni kujiadhibu mwenyewe kutoka na makosa ya mwingine..wewe n mhanga wa kwanza wa hasira ukasirikapo

Chuki na hasira hukaa kifuani mwa mpumbavu na sio mwenye hekima.
Mtoto una hekima sana wewe, unapenda uolewe na mume wa aina gani?
 
Back
Top Bottom