FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 8,600
- 10,760
Mimi naishi na dogo langu la kiume kigeto geto, sasa shida ni kwamba, itokee siku yeyote tupike chakula kizuri sana lazima itokee kasheshe yeyote ile nisikile hicho chakula. Either nitatoka na washikaji nitaenda clubs nitarudi asubuhi nimelewa na hata appetite sina, au kitatokea kitu cha kuitia stress sana nisile.
Hadi huwa najua tu siku hizi tukipika msosi mzuri najua huu msosi siuli kwa njia yeyote ile.
Njoo na wewe utupatie coincidence yako mkuu.
Hadi huwa najua tu siku hizi tukipika msosi mzuri najua huu msosi siuli kwa njia yeyote ile.
Njoo na wewe utupatie coincidence yako mkuu.