Njoo utuambie fun facts about you

Njoo utuambie fun facts about you

FK21

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2019
Posts
8,600
Reaction score
10,760
Mimi naishi na dogo langu la kiume kigeto geto, sasa shida ni kwamba, itokee siku yeyote tupike chakula kizuri sana lazima itokee kasheshe yeyote ile nisikile hicho chakula. Either nitatoka na washikaji nitaenda clubs nitarudi asubuhi nimelewa na hata appetite sina, au kitatokea kitu cha kuitia stress sana nisile.

Hadi huwa najua tu siku hizi tukipika msosi mzuri najua huu msosi siuli kwa njia yeyote ile.

Njoo na wewe utupatie coincidence yako mkuu.
 
Sijui kwann sipendi jinsia ya kiume waishi wawili room 1, yaan ki ghetto ghetto.

Sijui naonajee, hata wawe ndugu wa damu. Lol.
Mweiii polee.
 
Sijui kwann sipendi jinsia ya kiume waishi wawili room 1, yaan ki ghetto ghetto.

Sijui naonajee, hata wawe ndugu wa damu. Lol.
Mweiii polee.
Kama damu moja hakuna kibaya kabisa
 
Back
Top Bottom