Njoo utupongeze!

Filipo

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
9,341
Reaction score
5,543
Ni mwaka mwingine tena umepita tangu mimi na my lovely wife, kipenzi cha roho yangu, nyongo mkalia ini, Mrs marejesho Filipo tulipoamua kujiunga hapa! Tumeendelea kuwa na maisha ya furaha, upendo umeongezeka si kati yetu tu bali na kwenu pia!

Katika kufurahia jambo hili, tunapenda kutoa shukrani zetu nyingi kwa wafuatao,

Arusha Wing (JF HQ)
PakaJimmy, Mzee wa Rula, LiverpoolFC, Arushaone, Erickb52, IGWE, Jackbauer, SaHaRa Voice, Mr Rocky Mtumishi Wetu, Kabakabana, Blaki Womani, Lily Flower, Preta, 'Valentina', Nwaigwe, mysoul, sweetlady, Mamzalendo na wengine wengi!

Tanga wing,
Babu DC Dark City, Mwanyasi, Arabela, CHUAKACHARA, KOKUTONA, @YNNHA

Dar wing,
Asprin, Mtambuzi, watu8, Madame B, ladyfurahia, Smile, vivian, amu, Paloma, Jiwe Linaloishi, Vin Diesel, lara 1, Heaven on Earth, mentar, Slave, Bishanga, The secretary, Nicas Mtei, St. Paka Mweusi, Baba V, Judgement, Mwita Maranya, Mamndenyi

Bila kuwasahau Kaizer, Teamo, Bigirita, fidel8, Lizzy Mwanajamii One, Michelle, KakaKiiza

Mwanza Wing,
charminglady, Honey Faith, brenda18, @C6,

Wengine ni Lady doctor, Zinduna, kiwatengu, DEMBA,

Na woooote ambao sijawataja hapa! Tunawashukuru sana kwa ushirikiano wenu na tunaamini tutaendelea kuwa pamoja na tutaendelea kuishi hapa bila kupigwa ban kama tulivyoishi kwa miaka yote hii!

Mr. Filipo and his lovely wife Mrs. marejesho Filipo.

cc: Maxence Melo, Invisible
 
Last edited by a moderator:
Hongereni sana, sasa tunakutana wapi kwa ajili ya hafla fupi.....?
 
Bila kumsahau 'Valentina'!
Pongezi mingi sana Filipo kwa kukumbuka suala nyeti kama hili.
Hakika tunahitaji kupongezana sana wote kwa kuuona huu mwaka ambao tuna malengo mengi sana nao!
Ila napenda kujua kama Tonykp yupo, maana anatafutwa sana na 'Valentina', na inasemekana amezima simu zote tokea mwaka jana!
 
Last edited by a moderator:
kila la heri mkuu !filipo na my wife wako marejesho. mungu awape maisha marefu na upendo uendelee kuwa kati yenu daima.
 
Last edited by a moderator:

Asante sana Mkuu! Ya Tonykp na 'Valentina' tutayafanyia kazi baada ya burudani!

Heshima sana Mkuu!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…