Njoo utupongeze!

Njoo utupongeze!

hongera sana mkuu Filipo na ubavu wako wa kushoto.
 
Last edited by a moderator:
Laaziz wangu Filipo nakupenda sana, na sijutii kuwa na wewe... Tulishauriana kujiunga JF na leo tumetimiza miaka kadhaa, HATUJUTII maamuzi yetu.... Tumepata marafiki wengi sana wa ki couple na wa kibinafsi (You know what I mean). Changamoto hazikukosekana miaka iliyopita ila nashukuru tumekomaa nazo, na tuna kila sababu ya kujisifu kwamba sisi ni washindi.... Kuna muda mambo ya kifamilia yalitutinga tukashindwa kuingia JF ila napenda kuwahakikishia kwamba bado tupo na tutaendelea kuwepo....

Thats my wife! There is only you my dear, always you! Hadi kifo kitutenganishe!
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana mdogo wangu wa ukweli Filipo,

Sasa hii tunaita birthday au nini....babu anaomba msaada..lol!!

Msalimie sana mjukuu wangu marejesho. Mwambie babu anawamiss nyote kwa pamoja (siyo mmoja wenu tu)!!

Mubarikiwa sana,

Babu DC!!

Haya ni maadhimisho babu!
Asante sana Mkuu. Jioni Narok Pub kwaajili ya "muziki wa nyumbani!"
Karibu!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Thats my wife! There is only you my dear, always you! Hadi kifo kitutenganishe!

Hata kifo kikitutenganisha, maisha yajayo lazima tutakuwa pamoja tena.... You are my number one.......
 
HONGERENI SANA KAKA Filipo na bestito marejesho kwa kuvuka mwaka salama bila kipangamizi ila
punguza munkkar unapokuwa katika game halafu kwanini hukuiniaga siku ile?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom