pamoja kaka....Woow! kama unatuona vile!
Thanx!
Tunashukuru sana sana
Nashukuru sana Babu DC , Sisi ni wazima tunamshukuru Mungu kwamba familia yetu iko vizuri..... Msalimie sana Bibi
Hivi nyie mlifanyaje hadi mkajiunga siku moja...si ajabu hata muda haukupishana...
Itabidi mmsimulie Babu vizuri ili aelewe!
Babu DC!!
Babu DC haya mambo yanahitaji kuketi kitako na kuelezana.... Mapenzi ya ukweli kabisa
Tunakusubiri Babu DC ... Preta umemsikia Babu DC?