Laaziz wangu Filipo nakupenda sana, na sijutii kuwa na wewe... Tulishauriana kujiunga JF na leo tumetimiza miaka kadhaa, HATUJUTII maamuzi yetu.... Tumepata marafiki wengi sana wa ki couple na wa kibinafsi (You know what I mean). Changamoto hazikukosekana miaka iliyopita ila nashukuru tumekomaa nazo, na tuna kila sababu ya kujisifu kwamba sisi ni washindi.... Kuna muda mambo ya kifamilia yalitutinga tukashindwa kuingia JF ila napenda kuwahakikishia kwamba bado tupo na tutaendelea kuwepo....
Hongereni sana jamani, tafrija ni saa ngapi maana leo natia tim hapo
Thats my wife! There is only you my dear, always you! Hadi kifo kitutenganishe!