Njoo utupongeze!

Unakatika katika sana we Mrs. Arushaone! Karibu sana!

asante sana! Mpe hi mume wangu, mwambie nyumbani nitarejea! Halafu hilo swala la kukatika ngoja niliweke pending kwanza hadi tafrija itakapoisha.
 
Last edited by a moderator:
Oohoo......!!?
Tutaongea baadae ila mwambie Paloma amsalimie sana sosoliso na wewe mpe hi Kipaji Halisi

Nashukuru salamu zimefika.. Shemejio Paloma yuko bed rest anasubiri kudeliva mapacha.. Hapa niko bize kutafuta majina ya kuwapa.. Sijui kumbi na kumbinga yatawafaa lol.. Mpe salamu sana marejesho mwambie atayarishe vizawadi..
 
Last edited by a moderator:
asante sana! Mpe hi mume wangu, mwambie nyumbani nitarejea! Halafu hilo swala la kukatika ngoja niliweke pending kwanza hadi tafrija itakapoisha.

Unakili sana wewe! Ukija uingie moja kwa moja kwenye chumba cha ukaguzi!
 
Nashukuru salamu zimefika.. Shemejio Paloma yuko bed rest anasubiri kudeliva mapacha.. Hapa niko bize kutafuta majina ya kuwapa.. Sijui kumbi na kumbinga yatawafaa lol.. Mpe salamu sana marejesho mwambie atayarishe vizawadi..

Hongereni sana! Soon mtakuwa kama sisi!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…