The secretary
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 4,148
- 2,537
mambo vipi bi dada?
ni ndoa yangu anazungumzia hapa au?
Poa niaje
Ongeza maombi na sala maana jamaa ameingiwa na shetani na amekuwa pepo!
shwari sana nimekukumbuka kumbuka, upo kimya sana
Ndoa yako mkuu ndio mada hapa....
hahahahaha!! thats is jiniwing mkuu.. ilishadhaminiwa na Mungu kitambo kirefu sana!!
udhamini wako huo ni batili
Nitakuwa kama friends of simba...uenyekiti wa club namuachia Rage
mie najipong mwenyewe
mwallu....naomba tujipongeze pamojamie najipong mwenyewe
ur my best! i can do anything for you
ur my best! i can do anything for you
usijali..uje na mkeo tupongezane
Ningekuwa nimeoa nisingeomba tuje kupongezana......