Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,088
- 6,384
karibu..vigezo na masharti kuzingatiwa
Vitaje mbele ya jamii hapa....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
karibu..vigezo na masharti kuzingatiwa
Naomba nikupongeze kwa Mara ya kwanzamie najipong mwenyewe
Unakili sana wewe! Ukija uingie moja kwa moja kwenye chumba cha ukaguzi!
haahaha,,,mi nina anivesare kwa mwaka mara tatu ujue...
Vitaje mbele ya jamii hapa....
Naomba nikupongeze kwa Mara ya kwanza
ujue tu kujipongeza na mtawa..bila kuvunja kanuni yoyote itakayoweka utawa wake hatarini...
Usiwe na
shaka....tutaufuta utawa kwa muda....baada ya muda unavaa mavazi yako na
utawa warudi...
yani kwa kauli hiyo tayari mualiko wa mapongezano umekufa
wakati nilishakata hadi tiketi....
Nyie mmefeli.
Salve africa