KOKUTONA
JF-Expert Member
- Jan 29, 2011
- 8,651
- 6,104
Shemeji yangu huyo mwenzio.. matatizo matupu lol..
Shemeji yako kwa nani...maana list yake ndefu sana...kweli ni matatizo matupu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shemeji yangu huyo mwenzio.. matatizo matupu lol..
Sikutaka mama akumbuke! Mwambie tunamsalimu na tunamkumbuka sana!!
Hizo za Mwalimu utaniambia chemba!
Shemeji yako kwa nani...maana list yake ndefu sana...kweli ni matatizo matupu
Kwa dada yangu Heaven on Earth.. Sema dada yangu kama amemstukia vle kama jamaa ni samalenge..
Ha ha haaa imekula kwake huyo dada yako.. Vin Diesel ni pori tengevu lol
Sijambo, habari ya siku nyingi?
Wifi hajambo? Mwabie namsalimu
Laaziz wangu Filipo nakupenda sana, na sijutii kuwa na wewe... Tulishauriana kujiunga JF na leo tumetimiza miaka kadhaa, HATUJUTII maamuzi yetu.... Tumepata marafiki wengi sana wa ki couple na wa kibinafsi (You know what I mean). Changamoto hazikukosekana miaka iliyopita ila nashukuru tumekomaa nazo, na tuna kila sababu ya kujisifu kwamba sisi ni washindi.... Kuna muda mambo ya kifamilia yalitutinga tukashindwa kuingia JF ila napenda kuwahakikishia kwamba bado tupo na tutaendelea kuwepo....
Hongereni sana sana sanaaaaa mana ndoa si lelemama. Mwaka mmoja waweza onekana mfupi lakin ni mrefu kutokana na milima na mabonde yaliyopo katika hii sayari. Niendelee kuwatakia heri katika ndoa yenu.
Ha ha ha.. cheupe wa wapi
. Majani mapana.. pangani au..?
Vin Diesel, njoo umjibu sosoliso anauliza
Kwa dada yangu Heaven on Earth.. Sema dada yangu kama amemstukia vle kama jamaa ni samalenge..
Bila kumsahau 'Valentina'!
Pongezi mingi sana Filipo kwa kukumbuka suala nyeti kama hili.
Hakika tunahitaji kupongezana sana wote kwa kuuona huu mwaka ambao tuna malengo mengi sana nao!
Ila napenda kujua kama Tonykp yupo, maana anatafutwa sana na 'Valentina', na inasemekana amezima simu zote tokea mwaka jana!
Ha ha ha.. halafu shemeji mwenyewe wala haungi..
wapo wengi sasa...sijui ni yupi wamaanisha...
Utakayeenda naye JF party tar 25
Nipo cheupe dawa.. namuangalia tu huyu shemeji yangu.. ntafanyaje mie wakati dada kapenda..