Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Mtu unamuomba aje PM ila aandike namba ya simu Kama kichwa Cha habari ili niweze kuiona nimtafute ila yeye anatuma meseji ya maneno na Mimi mwenzio Pm inagoma kusoma meseji na kujibu yaani inauma mnoKama una makavu ya kuwaambia watu humu, njoo uyatupie hapa.
- Mwanamke usiyejishughulisha, maisha yako yanategemea kudanga au kuomba omba wanaume hela - wewe huna tofauti na changudoa anayejiuza barabarani.
- Mwanaume unayejali zaidi mawazo, fikra na namna anavyoonekana na rafiki zako wa kiume kuliko mke wako na familia yako - wewe una chembechembe za tabia za wanaupinde ππ³οΈβπ, jitathmini.
- MwanaJF unayetukana na kukebehi wengine pale unapokosa hoja au jibu lenye mashiko, hasa chawa wa CCM na CDM kwenye nyuzi za siasa - wewe ni hamnazo.
- Mwanamke / mwanaume unayesifia matumizi ya mihadarti au ulevi (unywaji wa pombe kupita kiasi) - hizo siyo sifa ni ushamba uliochanganyikana na ujinga.
- Mwanaume unayehonga hela kwa michepuko na vibinti vidogo wakati hajatimiza mahitaji ya msingi kwa watoto wako - wewe ni takataka ya hovyo sana.
- Mwanamke unayekopa hela ili ujionyeshe kwa kuvaa vitu vya thamani ambavyo haviko kwenye uwezo wako kiuchumi - wewe ni limbukeni, badilika.
- Mwanaume unayeshupaza shingo kusema single mothers wakati umezalisha watoto na wanawake tofauti na huwahudumii - wewe ni hayawani usiyejityambua.
- Endeleza na nyingine .......................π€·ββοΈ
Amina π πIkimpendeza Mungu, awasaidaie wale walio kwazo kwangu na jamii, kwa tabia zao au hali zao za maisha.
Heee heee, pole sana, kumbe watu huwa mnatumiana namba za simu PM πMtu unamuomba aje PM ila aandike namba ya simu Kama kichwa Cha habari ili niweze kuiona nimtafute ila yeye anatuma meseji ya maneno na Mimi mwenzio Pm inagoma kusoma meseji na kujibu yaani inauma mno
Hii I'd sina uhakika kama ni ya jinsia KEKama una makavu ya kuwaambia watu humu, njoo uyatupie hapa.
- Mwanamke usiyejishughulisha, maisha yako yanategemea kudanga au kuomba omba wanaume hela - wewe huna tofauti na changudoa anayejiuza barabarani.
- Mwanaume unayejali zaidi mawazo, fikra na namna anavyoonekana na rafiki zako wa kiume kuliko mke wako na familia yako - wewe una chembechembe a tabia za wanaupinde, jitathmini.
- MwanaJF unayetukana na kukebehi wengine pale unapokosa hoja au jibu lenye mashiko, hasa chawa wa CCM na CDM kwenye nyuzi za siasa - wewe ni hamnazo.
- Mwanamke / mwanaume unayesifia matumizi ya mihadarti au ulevi (unywaji wa pombe kupita kiasi) - hizo siyo sifa ni ushamba uliochanganyikana na ujinga.
- Mwanaume unayehonga hela kwa michepuko na vibinti vidogo wakati hajatimiza mahitaji ya msingi kwa watoto wako - wewe ni takataka ya hovyo sana.
- Mwanamke unayekopa hela ili ujionyeshe kwa kuvaa vitu vya thamani ambavyo haviko kwenye uwezo wako kiuchumi - wewe ni limbukeni, badilika.
- Mwanaume unayeshupaza shingo kusema single mothers wakati umezalisha watoto na wanawake tofauti na huwahudumii - wewe ni hayawani usiyejityambua.
- Endeleza na nyingine .......................π€·ββοΈ
Ukishakua na uhakika, itakusaidia nini?Hii I'd sina uhakika kama ni ya jinsia KE
Jopo la VAR mko wapi
Hata sijui itanisaidia nini ila VAR ya hovyo sana kwenye michezoUkishakua na uhakika, itakusaidia nini?
πππππHeee heee, pole sana, kumbe watu huwa mnatumiana namba za simu PM π
Babes, kuna mahali nilipita nikaona mnabebishana na majamaa muende whatsapp, nikasema mmmh kumbe hadi huyu ππππππ
Mozeee unaniita mimi au nani?Ngoja tugeuze darubini tuone kama itasaidia kuzoom yanayoendelea huko nyikani.